Mialiko yenye
mwonekano wako.
Digital invitations zinazobeba style ya event yako. Tunakusaidia kutuma mialiko, kufuatilia RSVP na kuwakagua wageni kwa QR check-in.
Kutoka Kigamboni. Kwa sherehe yako.

Harusi, send-off, birthday, mahafali na corporate events.
Zaidi ya
kutuma kadi.
Kuanzia jina la mgeni kwenye mwaliko hadi kuingia ukumbini, kila hatua ina nafasi yake.
